JIPATIE VIFUNGASHIO VYA BIDHAA VYENYE LABEL
Wewe ni mjasiriamali
? Unahitaji vifungashio bora kwa ajili ya bidhaa zako
?
Kama jibu lako ni NDIO basi HII NI HABARI NJEMA SANA KWAKO. Mwalu Marketing wanakuletea vifungashio bora kwa
ajili ya bidhaa zako. Vipo katika
ujazo mbalimbali na vinaweza kutumika kufunga na
kuhifadhi bidhaa mbalimbali kama vile unga
wa lishe, korosho, asali, juice , wine,karanga nakadhalika.
Pia tunayo
huduma maalumu ya kuweka sticker au
label kwenye vifungashio . Hivyo basi kwa
wale wanao hitaji na huduma ya kuweka
stickers au label kwenye vifungashio vyao,
hii ni habari njema sana kwao.
BEI YA
VIFUNGASHIO
1Kg = bei Tshs. 550/= @
bag
Nusu kilo = Bei Tsh.
350/= @bag
Robo kilo =Bei Tsh 250/= @ bag
140gms = Bei Tsh 150/= @bag.
Tunapatilkana UBUNGO jijini DAR ES SALAAM.
Fika ofisini kwetu Ubungo jijini Dar Es Salaam au Wasiliana nasi kwa simu 0687319762.
Kwa wateja waliopo nje ya mkoa wa Dar Es Salaam,tuna wasafirishia vifungashio kwa njia ya usafiri wa mabasi.
BORESHA BIASHARA YAKO KWA KUWEKA BIDHAA
ZAKO KATIKA VIFUNGASHIO BORA VYENYE LEBO AU LOGO YAKO.
nataka kufahamu namna ya kuprint stickers na kuweka kwenye mifuko kama vifungashio vya karanga
JibuFutaMbona mnauza bags tu, vifungashio vya karanga za kusagwa, Juice pamoja na asali Mbona sijaona
JibuFutaKama mnavyo vifungashio vya karanga za kusagwa, Juice pamoja na asali please contact me vía 0762009192
JibuFutaKama mnavyo vifungashio vya karanga za kusagwa, Juice pamoja na asali please contact me vía 0762009192
JibuFutaMbona mnauza bags tu, vifungashio vya karanga za kusagwa, Juice pamoja na asali Mbona sijaona
JibuFutakama mnavyo vifungashio navyoweza kuweka ulanzi
JibuFutaNahitaji vifungashio vya wine
JibuFuta